Deuteronomy 15:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mwaka, wewe na jamaa yako mtakula wanyama hao mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mahali Mwenyezi-Mungu atakapochagua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mwaka ninyi na jamaa zenu mtapaswa kuwala mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, pale mahali atakapopachagua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utamla mbele za Bwana, Mungu wako, mwaka hata mwaka mahali atakapochagua Bwana, wewe na nyumba yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mwaka, wewe na jamaa yako mtakula wanyama hao mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mahali Mwenyezi-Mungu atakapochagua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mwaka ninyi na jamaa zenu mtapaswa kuwala mbele za BWANA Mungu wenu pale mahali atakapopachagua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mwaka ninyi na jamaa zenu mtapaswa kuwala mbele za bwana Mwenyezi Mungu wenu pale mahali atakapopachagua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utamla mbele za BWANA, Mungu wako, mwaka hata mwaka mahali atakapochagua BWANA, wewe na nyumba yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mwaka, wewe na jamaa yako mtakula wanyama hao mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mahali Mwenyezi-Mungu atakapochagua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila utamla mbele ya Bwana Mungu wako, wewe pamoja nao waliomo nyumbani mwako, mwaka kwa mwaka mahali pale, Bwana atakapopachagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utamla mbele za BWANA, Mungu wako, mwaka hata mwaka mahali atakapochagua BWANA, wewe na nyumba yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mwaka, wewe na jamaa yako mutakula nyama hao mbele ya Yawe, Mungu wenu, pahali Yawe atakapochagua.