Deuteronomy 15:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utamla mnyama wa namna hiyo ukiwa katika mji wako; pia wote walio safi na wasio safi wanaweza kumla kama unavyokula paa au kulungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Itawapasa kumla ninyi wenyewe katika miji yenu. Wote walio najisi na waliotakasika mwaweza kula kama vile mnavyokula paa au kulungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utamla ndani ya malango yako; wasio tohara na wenye tohara pia watakula, kama unavyokula paa na kulungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utamla mnyama wa namna hiyo ukiwa katika mji wako; pia wote walio safi na wasio safi wanaweza kumla kama unavyokula paa au kulungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Itawapasa kumla ninyi wenyewe katika miji yenu. Wote wasio safi na walio safi kwa desturi za kiibada mwaweza kula kama vile mnavyokula paa au kulungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Itawapasa kumla ninyi wenyewe katika miji yenu. Wote wasio safi na walio safi kwa desturi za kiibada mwaweza kula kama vile mnavyokula paa au kulungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utamla ndani ya malango yako; wasio tohara na wenye tohara pia watakula, kama unavyokula paa na kulungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utamla mnyama wa namna hiyo ukiwa katika mji wako; pia wote walio safi na wasio safi wanaweza kumla kama unavyokula paa au kulungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila utamla malangoni pako, mwenye uchafu na mwenye kutakata pamoja, kama unavyokula paa au kulungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utamla ndani ya malango yako; wasio tohara na wenye tohara pia watakula, kama unavyokula paa na kulungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakula nyama wa namna hiyo ukiwa katika muji wako; vilevile wote wanaokuwa safi na wasiokuwa safi wanaweza kumukula kama vile unavyokula paa au kulungu.