Deuteronomy 15:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini usile damu yake; bali hiyo utaimwaga chini kama maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kamwe msile damu; imwageni ardhini kama maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pamoja na haya usile damu yake; uimwage nchi kama maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini usile damu yake; bali hiyo utaimwaga chini kama maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kamwe msinywe damu; imwageni ardhini kama maji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kamwe msinywe damu; imwageni ardhini kama maji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pamoja na haya usile damu yake; uimwage chini kama maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini usile damu yake; bali hiyo utaimwaga chini kama maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Damu yake tu usiile, ila uimwage mchangani kama maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pamoja na haya usile damu yake; uimwage nchi kama maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini usikule damu yake; hiyo utaimwanga chini kama vile maji.