Deuteronomy 15:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnaweza kuwadai wageni, lakini madeni yote ya ndugu zenu wenyewe mtayafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unaweza kudai malipo kwa mgeni, lakini lazima ufute kila deni ambalo unamdai ndugu yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waweza kumtoza mgeni; lakini kila uwiacho kwa nduguyo mkono wako utamwachilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnaweza kuwadai wageni, lakini madeni yote ya ndugu zenu wenyewe mtayafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unaweza kudai malipo kwa mgeni, lakini lazima ufute kila deni ambalo ndugu yako anawiwa nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unaweza kudai malipo kwa mgeni, lakini lazima ufute kila deni ambalo unamdai ndugu yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waweza kumtoza mgeni; lakini kila uwiacho kwa nduguyo mkono wako utamwachilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnaweza kuwadai wageni, lakini madeni yote ya ndugu zenu wenyewe mtayafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asiye wa Kiisiraeli utaweza kumwendea, umtoze, lakini aliye ndugu yako utamwachilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waweza kumtoza mgeni; lakini kila uwiacho kwa nduguyo mkono wako utamwachilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munaweza kuwadai wageni, lakini madeni yote ya wandugu zenu wenyewe mutayafuta.