Deuteronomy 15:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika nchi anayowapa iwe mali yenu. Hakuna hata mmoja atakayekuwa maskini kati yenu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, hapatakuwa na maskini miongoni mwenu, kwa kuwa katika nchi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anayowapa kuimiliki kama urithi wenu, atawabariki sana,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hawatakuwako maskini kwenu; (kwa kuwa Bwana atakubarikia kweli katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, uimiliki, iwe urithi wako;)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika nchi anayowapa iwe mali yenu. Hakuna hata mmoja atakayekuwa maskini kati yenu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, hapatakuwepo maskini miongoni mwenu, kwa kuwa katika nchi BWANA Mungu wenu anayowapa kuimiliki kama urithi wenu, atawabariki sana,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, hapatakuwepo maskini miongoni mwenu, kwa kuwa katika nchi bwana Mwenyezi Mungu wenu anayowapa kuimiliki kama urithi wenu, atawabariki sana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hawatakuwako maskini kwenu; (kwa kuwa BWANA atakubarikia kweli katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, uimiliki, iwe urithi wako;)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawabariki katika nchi anayowapa iwe mali yenu. Hakuna hata mmoja atakayekuwa maskini kati yenu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli kwako asingekuwako mkopaji, kwani Bwana atakubariki sana katika hiyo nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, uichukue, iwe fungu lako mwenyewe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hawatakuwako maskini kwenu; (kwa kuwa BWANA atakubarikia kweli katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, uimiliki, iwe urithi wako;)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Yawe, Mungu wenu atawabariki katika inchi anayowapa ikuwe urizi wenu. Hakuna hata mumoja atakayekuwa masikini kati yenu,