Deuteronomy 15:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mradi tu mumtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kufuata kwa uangalifu amri ninazowapeni hivi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ikiwa tutamtii Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kikamilifu na kuwa waangalifu kuyafuata maagizo haya yote ninayowapa leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwamba utaisikiza tu kwa bidii sauti ya Bwana, Mungu wako, uyatunze maagizo haya yote nikuagizayo leo, kuyafanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mradi tu mumtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kufuata kwa uangalifu amri ninazowapeni hivi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ikiwa tutamtii BWANA Mungu wenu kikamilifu na kuwa waangalifu kuyafuata maagizo haya yote ninayowapa leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ikiwa tutamtii bwana Mwenyezi Mungu wenu kikamilifu na kuwa waangalifu kuyafuata maagizo haya yote ninayowapa leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwamba utaisikiliza tu kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako, uyatunze maagizo haya yote nikuagizayo leo, kuyafanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mradi tu mumtii Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kufuata kwa uangalifu amri ninazowapeni hivi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama wewe ungeisikia tu sauti ya Bwana Mungu wako, uyaangalie na kuyafanya hayo maagizo yote, mimi ninayokuagiza leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwamba utaisikiza tu kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako, uyatunze maagizo haya yote nikuagizayo leo, kuyafanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ikiwa tu mutamutii Yawe, Mungu wenu, kwa kufuata kwa uangalifu amri ninazowapa hivi leo.