Deuteronomy 15:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Badala yake, fumbueni mikono yenu na kumkopesha kwa hiari kiasi cha kutosha mahitaji yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali fungua mikono yako na umkopeshe kwa hiari chochote anachohitaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini mfumbulie mkono wako kwa kweli, umkopeshe kwa kweli yatoshayo haja yake katika ahitajiayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Badala yake, fumbueni mikono yenu na kumkopesha kwa hiari kiasi cha kutosha mahitaji yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Afadhali fungua mikono yako na umkopeshe kwa hiari cho chote anachohitaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Afadhali fungua mikono yako na umkopeshe kwa hiari chochote anachohitaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini mfumbulie mkono wako kwa kweli, umkopeshe kwa kweli yatoshayo haja ya mahitaji yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Badala yake, fumbueni mikono yenu na kumkopesha kwa hiari kiasi cha kutosha mahitaji yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila umfungulie mkono wako na kumkopesha yatoshayo kuukomesha ukosefu wake, alioukosa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini mfumbulie mkono wako kwa kweli, umkopeshe kwa kweli yatoshayo haja yake katika ahitajiayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pahali pake, mufungue mikono yenu na kumukopesha kwa mapenzi kiasi cha kutosha mahitaji yake.