Deuteronomy 16:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Baada ya kupura nafaka yenu yote na kukamua zabibu zenu, adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa muda wa siku saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa siku saba baada ya kukusanya mazao kutoka sakafu yako ya kupuria nafaka, na kutoka shinikizo lako la kukamulia zabibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanya sikukuu ya vibanda siku saba, utakapokwisha kuyakusanya yatokayo katika sakafu yako ya nafaka, na katika kinu chako cha divai;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Baada ya kupura nafaka yenu yote na kukamua zabibu zenu, adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa muda wa siku saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa siku saba baada ya kukusanya mazao yenu ya nafaka na kukamua zabibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa siku saba baada ya kukusanya mazao yenu ya nafaka na kukamua zabibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanya sikukuu ya vibanda siku saba, utakapokwisha kuyakusanya yatokayo katika sakafu yako ya nafaka, na katika kinu chako cha divai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Baada ya kupura nafaka yenu yote na kukamua zabibu zenu, adhimisheni sikukuu ya vibanda kwa muda wa siku saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikukuu ya Vibanda utaila siku saba utakapokwisha kuyakusanya yatokayo purioni pako na kamulioni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanya sikukuu ya vibanda siku saba, utakapokwisha kuyakusanya yatokayo katika sakafu yako ya nafaka, na katika kinu chako cha divai;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kisha kupepeta ngano yenu yote na kukamua zabibu zenu, mutafanya sikukuu ya vibanda kwa muda wa siku saba.