Deuteronomy 16:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote watatoa kadiri wanavyoweza kulingana na baraka Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alizowajalia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mmoja wenu ni lazima alete zawadi kulingana na jinsi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, alivyowabariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kila mtu na atoe kama awezavyo, kwa kadiri ya baraka ya Bwana, Mungu wako, alivyokupa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote watatoa kadiri wanavyoweza kulingana na baraka Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alizowajalia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mmoja wenu ni lazima alete zawadi kulingana na jinsi ambavyo BWANA Mungu wenu alivyowabariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mmoja wenu ni lazima alete zawadi kulingana na jinsi ambavyo bwana Mwenyezi Mungu wenu alivyowabariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kila mtu na atoe kama awezavyo, kwa kadiri ya baraka za BWANA, Mungu wako, alivyokupa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote watatoa kadiri wanavyoweza kulingana na baraka Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alizowajalia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mtu ashike mkononi mwake vipaji vya kuishuuru mbaraka, Bwana Mungu wako aliyokupatia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kila mtu na atoe kama awezavyo, kwa kadiri ya baraka ya BWANA, Mungu wako, alivyokupa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote watatoa kadiri wanavyoweza kulingana na baraka Yawe, Mungu wenu, alizowajalia.