Deuteronomy 16:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtateua waamuzi na maofisa kutoka makabila yenu katika miji yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa, nao watatoa hukumu za haki kwa watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wateue waamuzi na maafisa kwa kila kabila lenu katika kila mji ambao Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa, nao watawaamua watu kwa usawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Weka waamuzi na maakida katika malango yako yote akupayo Bwana, Mungu wako, kwa hesabu ya kabila zako; nao wawaamue watu kwa maamuzi ya haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtateua waamuzi na maofisa kutoka makabila yenu katika miji yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa, nao watatoa hukumu za haki kwa watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wateue waamuzi na maafisa kwa kila kabila lenu katika kila mji ambao BWANA Mungu wenu anawapa, nao watawaamua watu kwa usawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wateue waamuzi na maafisa kwa kila kabila lenu katika kila mji ambao bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa, nao watawaamua watu kwa usawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Weka waamuzi na maofisa katika malango yako yote akupayo BWANA, Mungu wako, kwa hesabu ya kabila zako; nao wawaamue watu kwa maamuzi ya haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtateua waamuzi na maofisa kutoka makabila yenu katika miji yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa, nao watatoa hukumu za haki kwa watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiwekee waamuzi na wenye amri malangoni pako pote, Bwana Mungu wako atakapokupa wewe kuwa pao mashina yako, wawaamue watu maamuzi yaongokayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Weka waamuzi na maakida katika malango yako yote akupayo BWANA, Mungu wako, kwa hesabu ya kabila zako; nao wawaamue watu kwa maamuzi ya haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mutachagua waamuzi na wakubwa kutoka makabila yenu katika miji yenu ambayo Yawe, Mungu wenu, atawapa nao watatoa hukumu za haki kwa watu.