Deuteronomy 16:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msipande mti wowote uwe nguzo ya mungu wa uongo karibu na meza ya madhabahu sadaka mtakayomjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msisimamishe nguzo yoyote ya Ashera kando ya madhabahu mliyomjengea Mwenyezi Mungu, Mungu wenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usipande mti uwao wote kuwa Ashera kwako kando ya madhabahu utakayofanya ya Bwana, Mungu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msipande mti wowote uwe nguzo ya mungu wa uongo karibu na meza ya madhabahu sadaka mtakayomjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msisimamishe nguzo yo yote ya Ashera kando ya madhabahu mliyomjengea BWANA Mungu wenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msisimamishe nguzo yoyote ya Ashera kando ya madhabahu mliyomjengea bwana Mwenyezi Mungu wenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usipande mti uwao wote kuwa Ashera kwako kando ya madhabahu utakayofanya ya BWANA, Mungu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msipande mti wowote uwe nguzo ya mungu wa uongo karibu na meza ya madhabahu sadaka mtakayomjengea Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usijipandie miti yo yote ya Ashera kandokando ya mahali pa kumtambikia Bwana Mungu wako, utakapojitengenezea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usipande mti uwao wote kuwa Ashera kwako kando ya madhabahu utakayofanya ya BWANA, Mungu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musipande muti wowote ukuwe nguzo ya mungu wa uongo karibu na mazabahu mutakayomujengea Yawe, Mungu wenu.