Deuteronomy 16:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala msisimamishe nguzo ambayo Mwenyezi-Mungu Mungu wako anaichukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wala msisimamishe jiwe la kuabudu, kwa maana Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anavichukia vitu hivi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala usisimamishe nguzo; ambayo Bwana, Mungu wako, aichukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala msisimamishe nguzo ambayo Mwenyezi-Mungu Mungu wako anaichukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wala msisimamishe jiwe la kuabudu, kwa maana BWANA Mungu wenu anavichukia vitu hivi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wala msisimamishe jiwe la kuabudu, kwa maana bwana Mwenyezi Mungu wenu anavichukia vitu hivi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala usisimamishe nguzo; ambayo BWANA, Mungu wako, aichukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala msisimamishe nguzo ambayo Mwenyezi-Mungu Mungu wako anaichukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala usijisimamishie nguzo za mawe za kutambikia, kwani Bwana Mungu wako anazichukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala usisimamishe nguzo; ambayo BWANA, Mungu wako, aichukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wala musisimamishe nguzo ambayo Yawe Mungu wenu anaichukia.