Deuteronomy 16:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msitolee sadaka ya Pasaka katika mji wowote ambao Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe msitoe dhabihu ya Pasaka katika mji wowote ambao Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, amewapa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usimchinje pasaka ndani ya malango yako yote akupayo Bwana, Mungu wako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msitolee sadaka ya Pasaka katika mji wowote ambao Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe msitoe dhabihu ya Pasaka katika mji wo wote ambao BWANA Mungu wenu amewapa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe msitoe dhabihu ya Pasaka katika mji wowote ambao bwana Mwenyezi Mungu wenu amewapa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usimchinje Pasaka ndani ya malango yako yote akupayo BWANA, Mungu wako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msitolee sadaka ya Pasaka katika mji wowote ambao Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwezi kuichinja kondoo ya Pasaka malangoni pako miongoni mwa miji, Bwana Mungu wako atakayokupa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usimchinje pasaka ndani ya malango yako yote akupayo BWANA, Mungu wako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musitolee sadaka ya Pasaka katika muji wowote ambao Yawe, Mungu wenu, atawapa;