Deuteronomy 16:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
bali mtaitolea pale mahali ambapo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atapachagua likae jina lake, hapo ndipo mtakapotolea sadaka ya Pasaka jioni, jua linapotua, wakati uleule mlipotoka Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
isipokuwa mahali atakapopachagua kuwa makao kwa ajili ya Jina lake. Hapo lazima mtoe dhabihu ya Pasaka jioni jua litakapotua, iwe kumbukumbu yenu ya kutoka Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila mahali atakapochagua Bwana, Mungu wako, apakalishe jina lake, ndipo mtakapomchinja pasaka jioni, katika machweo ya jua, kwa wakati kama uliotoka Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
bali mtaitolea pale mahali ambapo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atapachagua likae jina lake, hapo ndipo mtakapotolea sadaka ya Pasaka jioni, jua linapotua, wakati uleule mlipotoka Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
isipokuwa mahali atakapopachagua kama makao kwa ajili ya Jina lake. Hapo ndipo lazima mtoe dhabihu ya Pasaka jioni, jua litakapotua, iwe kumbukumbu yenu ya kutoka Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
isipokuwa mahali atakapopachagua kama makao kwa ajili ya Jina lake. Hapo ndipo lazima mtoe dhabihu ya Pasaka jioni, jua litakapotua, iwe kumbukumbu yenu ya kutoka Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, ndipo mtakapomchinja Pasaka jioni, katika machweo ya jua, kwa wakati kama uliotoka Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
bali mtaitolea pale mahali ambapo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atapachagua likae jina lake, hapo ndipo mtakapotolea sadaka ya Pasaka jioni, jua linapotua, wakati uleule mlipotoka Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila mahali pale tu, Bwana Mungu wako atakapopachagua kuwa pa kulikalishia Jina lake, ndipo, utakapoichinja kondoo ya Pasaka jioni, jua likiisha kuchwa, ndio saa zilezile zilizokuwa, ulipotoka Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, ndipo mtakapomchinja pasaka jioni, katika machweo ya jua, kwa wakati kama uliotoka Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini mutaitolea pale pahali Yawe, Mungu wenu, atakapochagua kwa ajili ya jina lake. Mutatolea sadaka ya Pasaka magaribi, jua linapotua, wakati uleule mulipotoka Misri.