Deuteronomy 16:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo nyama mtaichemsha na kuila mahali pale Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atakapochagua; asubuhi yake mtageuka na kurudi mahemani mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Okeni na mle mahali atakapopachagua Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kisha asubuhi mrudi kwenye mahema yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe umwoke na kumla mahali atakapochagua Bwana, Mungu wako; kisha asubuhi yake ugeuke uende hemani mwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo nyama mtaichemsha na kuila mahali pale Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atakapochagua; asubuhi yake mtageuka na kurudi mahemani mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Okeni na mle mahali pale ambapo BWANA Mungu wenu atakapopachagua, kisha asubuhi mrudi kwenye mahema yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Okeni na mle mahali pale ambapo bwana Mwenyezi Mungu wenu atakapopachagua, kisha asubuhi mrudi kwenye mahema yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe umwoke na kumla mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako; kisha asubuhi yake ugeuke uende hemani mwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo nyama mtaichemsha na kuila mahali pale Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atakapochagua; asubuhi yake mtageuka na kurudi mahemani mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo mahali pale, Bwana Mungu wako atakapopachagua, ndipo, utakapoipika na kuila palepale; kisha asubuhi yake na ugeuke nyuma kwenda hemani kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe umwoke na kumla mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako; kisha asubuhi yake ugeuke uende hemani mwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo nyama mutaipika na kuikula pahali pale Yawe, Mungu wenu atakapochagua. Asubui yake mutageuka na kurudi katika mahema zenu.