Deuteronomy 16:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu; na mnamo siku ya saba utakuwapo mkutano mkubwa wa kumwabudu Mwenyezi-Mungu, na msifanye kazi yoyote siku hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu na siku ya saba fanyeni kusanyiko kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, na msifanye kazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku sita utakula mikate isiyotiwa chachu; na siku ya saba na uwe mkutano mtukufu kwa Bwana, Mungu wako, usifanye kazi yo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu; na mnamo siku ya saba utakuwapo mkutano mkubwa wa kumwabudu Mwenyezi-Mungu, na msifanye kazi yoyote siku hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu na siku ya saba fanyeni kusanyiko kwa ajili ya BWANA Mungu wenu na msifanye kazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu na siku ya saba fanyeni kusanyiko kwa ajili ya bwana Mwenyezi Mungu wenu na msifanye kazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku sita utakula mikate isiyotiwa chachu; na siku ya saba na uwe mkutano mtukufu kwa BWANA, Mungu wako, usifanye kazi yoyote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa siku sita mtakula mikate isiyotiwa chachu; na mnamo siku ya saba utakuwapo mkutano mkubwa wa kumwabudu Mwenyezi-Mungu, na msifanye kazi yoyote siku hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku sita sharti ule mikate isiyochachwa, nayo siku ya saba na mkutanie kumheshimu Bwana Mungu wenu; hapo msifanye kazi yo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku sita utakula mikate isiyotiwa chachu; na siku ya saba na uwe mkutano mtukufu kwa BWANA, Mungu wako, usifanye kazi yo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku sita mutakula mikate isiyotiwa chachu. Katika siku ya saba kutakuwa mukutano mukubwa wa kumwabudu Yawe, na hamutafanya kazi yoyote katika siku hiyo.