Deuteronomy 17:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha mtafanya kama watakavyowatangazieni pale mahali Bwana atakapopachagua; mtakuwa waangalifu kufanya yote kama watakavyowaagiza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni lazima mtende sawasawa na maamuzi watakayowapa mahali Mwenyezi Mungu atakapopachagua. Kuweni waangalifu kufanya kila kitu watakachowaongoza kufanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe fanya sawasawa na hukumu watakayokuonyesha mahali hapo atakapochagua Bwana; nawe tunza kufanya kwa mfano wa yote watakayokufunza;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha mtafanya kama watakavyowatangazieni pale mahali Bwana atakapopachagua; mtakuwa waangalifu kufanya yote kama watakavyowaagiza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni lazima mtende sawasawa na maamuzi watakayowapa mahali BWANA atakapopachagua. Iweni waangalifu kufanya kila kitu watakachowaongoza kufanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni lazima mtende sawasawa na maamuzi watakayowapa mahali bwana atakapopachagua. Kuweni waangalifu kufanya kila kitu watakachowaongoza kufanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe fanya sawasawa na hukumu watakayokuonesha mahali hapo atakapochagua BWANA; nawe tunza kufanya kwa mfano wa yote watakayokufunza;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha mtafanya kama watakavyowatangazieni pale mahali Bwana atakapopachagua; mtakuwa waangalifu kufanya yote kama watakavyowaagiza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe sharti uyafanye, watakayokuambia na kukuonyesha njia mahali pale, Bwana atakapopachagua, nawe uangalie, uyafanye yote kuwa sawasawa, kama walivyokufunza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe fanya sawasawa na hukumu watakayokuonyesha mahali hapo atakapochagua BWANA; nawe tunza kufanya kwa mfano wa yote watakayokufunza;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mutafanya kama vile watakavyowatangazia pale pahali Yawe atakapochagua. Mutakuwa waangalifu kufanya yote kama vile watakavyowaagiza.