Deuteronomy 17:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Itawabidi kufanya kufuatana na maongozi watakayowapatia na uamuzi watakaoutoa kwenu. Msiache kutimiza kwa dhati hukumu watakayowatangazia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fanyeni sawasawa na sheria wanayowafundisha na maamuzi wanayowapa. Msigeuke mkono wa kuume au kushoto kuacha kufanya yale wanayowaambia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa mfano wa sheria watakayokufunza, na kwa mfano wa hukumu watakayokuambia, fanya vivyo; usigeuke katika hukumu watakayokuonyesha, kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Itawabidi kufanya kufuatana na maongozi watakayowapatia na uamuzi watakaoutoa kwenu. Msiache kutimiza kwa dhati hukumu watakayowatangazia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fanyeni sawasawa na sheria wanayowafundisha na maamuzi wanayowapa. Msigeuke mkono wa kuume au kushoto kuacha kufanya yale wanayowaambia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fanyeni sawasawa na sheria wanayowafundisha na maamuzi wanayowapa. Msigeuke mkono wa kuume au kushoto kuacha kufanya yale wanayowaambia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa mfano wa sheria watakayokufunza, na kwa mfano wa hukumu watakayokuambia, fanya vivyo hivyo; usigeuke katika hukumu watakayokuonesha, kwenda mkono wa kulia wala wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Itawabidi kufanya kufuatana na maongozi watakayowapatia na uamuzi watakaoutoa kwenu. Msiache kutimiza kwa dhati hukumu watakayowatangazia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti uyafuate hayo maonyo, watakayokufunza, nayo maamuzi, watakayokuambia, uyafanye hayo maneno, watakayokuonyesha, usiyaache kabisa kwenda kuumeni wala kushotoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa mfano wa sheria watakayokufunza, na kwa mfano wa hukumu watakayokuambia, fanya vivyo; usigeuke katika hukumu watakayokuonyesha, kwenda mkono wa kuume wala wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Itawapasa kufanya kufuatana na maongozi watakayowapatia na uamuzi watakaotoa kwenu. Musiache kutimiza hukumu watakayowatangazia kwa kupita kuume au kushoto.