Deuteronomy 17:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye mtu asiyejali kumtii kuhani au mwamuzi aliyewekwa hapo kumhudumia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, au mwamuzi, mtu huyo atauawa. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanaume atakayeonesha dharau kwa mwamuzi au kwa kuhani ambaye amewekwa kumtumikia Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, lazima auawe. Lazima mwondoe uovu katika Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu afanyaye kwa kujikinai, kwa kutomsikiza kuhani asimamaye hapo kwa kumtumikia Bwana, Mungu wako, au mwamuzi, na afe mtu huyo; nawe utauondoa uovu katika Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye mtu asiyejali kumtii kuhani au mwamuzi aliyewekwa hapo kumhudumia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, au mwamuzi, mtu huyo atauawa. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanaume atakayeonyesha dharau kwa mwamuzi au kwa kuhani ambaye amewekwa kumtumikia BWANA Mungu wenu lazima auawe. Lazima mwondoe uovu katika Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanaume atakayeonyesha dharau kwa mwamuzi au kwa kuhani ambaye amewekwa kumtumikia bwana Mwenyezi Mungu wenu lazima auawe. Lazima mwondoe uovu katika Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu afanyaye kwa kujikinai, kwa kutomsikiliza kuhani asimamaye hapo kwa kumtumikia BWANA, Mungu wako, au mwamuzi, na afe mtu huyo; nawe utauondoa uovu katika Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye mtu asiyejali kumtii kuhani au mwamuzi aliyewekwa hapo kumhudumia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, au mwamuzi, mtu huyo atauawa. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakapokuwa, mtu ajikuze, akatae kumsikia mtambikaji anayesimama huko na kumtumikia Bwana Mungu wako au mwamuzi, huyo mtu hana budi kufa; ndivyo, utakavyouondoa ubaya huo kwao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu afanyaye kwa kujikinai, kwa kutomsikiza kuhani asimamaye hapo kwa kumtumikia BWANA, Mungu wako, au mwamuzi, na afe mtu huyo; nawe utauondoa uovu katika Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye mutu atakayetenda kwa kiburi bila kutii kuhani aliyewekwa hapo kwa kumutumikia Yawe, Mungu wenu, au mwamuzi, mutu huyo atauawa. Ndivyo mutakavyokomesha uovu kati yenu.