Deuteronomy 17:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mwaweza kumweka mfalme juu yenu mtu ambaye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atamchagua. Mtamweka mmojawapo wa ndugu zenu kuwa mfalme juu yenu. Msimfanye mgeni asiye ndugu yenu kuwa mfalme wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kuweni na uhakika wa kumweka mfalme juu yenu ambaye Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, atamchagua. Ni lazima atoke miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msimweke mgeni juu yenu ambaye si ndugu Mwisraeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
usiache kumweka yule atakayechaguliwa na Bwana, Mungu wako, awe mfalme juu yako; umweke mmoja katika ndugu zako awe mfalme juu yako; usimtawaze mgeni juu yako, ambaye si ndugu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mwaweza kumweka mfalme juu yenu mtu ambaye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atamchagua. Mtamweka mmojawapo wa ndugu zenu kuwa mfalme juu yenu. Msimfanye mgeni asiye ndugu yenu kuwa mfalme wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
iweni na uhakika wa kumweka mfalme juu yenu ambaye BWANA Mungu wenu atamchagua. Ni lazima atoke miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msimweke mgeni juu yenu ambaye si ndugu wa Kiisraeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kuweni na uhakika wa kumweka mfalme juu yenu ambaye bwana Mwenyezi Mungu wenu atamchagua. Ni lazima atoke miongoni mwa ndugu zenu wenyewe. Msimweke mgeni juu yenu ambaye si ndugu wa Kiisraeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
usiache kumweka yule atakayechaguliwa na BWANA, Mungu wako, awe mfalme juu yako; umweke mmoja katika ndugu zako awe mfalme juu yako; usimtawaze mgeni juu yako, ambaye si ndugu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mwaweza kumweka mfalme juu yenu mtu ambaye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atamchagua. Mtamweka mmojawapo wa ndugu zenu kuwa mfalme juu yenu. Msimfanye mgeni asiye ndugu yenu kuwa mfalme wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Napo hapo na umweke yule kuwa mfalme wako, Bwana Mungu wako atakayemchagua katikati ya ndugu zako; yeye ndiye, utakayemweka kuwa mfalme; mtu mgeni asiye ndugu yako hutaweza kumweka kuwa mkuu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
usiache kumweka yule atakayechaguliwa na BWANA, Mungu wako, awe mfalme juu yako; umweke mmoja katika ndugu zako awe mfalme juu yako; usimtawaze mgeni juu yako, ambaye si ndugu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
munaweza kumuweka mufalme juu yenu mutu ambaye Yawe, Mungu wenu, atamuchagua. Mutamuweka mumoja wa wandugu zenu kuwa mufalme juu yenu. Musimufanye mugeni asiyekuwa ndugu yenu kuwa mufalme wenu.