Deuteronomy 17:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme lazima afanye nakala ya sheria hii iandikwe mbele ya makuhani wa Kilawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme wake, ajiandikie kwenye kitabu nakala ya sheria kwa ajili yake mwenyewe kutoka zile sheria za makuhani ambao ni Walawi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena na iwe, zamani aketipo juu ya kiti cha ufalme wake, ajiandikie nakala ya torati hii katika chuo, kufuata hicho kilicho mbele ya makuhani Walawi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme lazima afanye nakala ya sheria hii iandikwe mbele ya makuhani wa Kilawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme wake, ajiandikie kwenye kitabu nakala ya sheria kwa ajili yake mwenyewe kutoka zile sheria za makuhani ambao ni Walawi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme wake, ajiandikie kwenye kitabu nakala ya sheria kwa ajili yake mwenyewe kutoka zile sheria za makuhani ambao ni Walawi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena na iwe, zamani aketipo juu ya kiti cha ufalme wake, ajiandikie nakala ya torati hii katika kitabu, kufuata hicho kilicho mbele ya makuhani Walawi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme lazima afanye nakala ya sheria hii iandikwe mbele ya makuhani wa Kilawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hapo, atakapokaa katika kiti chake cha kifalme, sharti ajiandikie mwandiko wa pili wa haya Maonyo katika kitabu na kukifuata kile cha watambikaji Walawi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena na iwe, zamani aketipo juu ya kiti cha ufalme wake, ajiandikie nakala ya torati hii katika chuo, kufuata hicho kilicho mbele ya makuhani Walawi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atakapokuwa akiikalia kiti cha ufalme anapaswa kuandika mufano wa sheria hii katika kitabu kinachokuwa mbele ya makuhani wa Kilawi.