Deuteronomy 17:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nakala hiyo atakuwa nayo daima na kuisoma maisha yake yote, ili apate kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akishika na kutimiza maneno yote ya sheria hii na masharti haya,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakuwa na nakala hiyo, naye ataisoma siku zote za maisha yake ili ajifunze kumheshimu Mwenyezi Mungu, Mungu wake, na kufuata kwa uangalifu maneno yote ya sheria hii na amri hizi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na awe nayo, asome humo siku zote atakazoishi; ili apate kujifunza kumcha Bwana, Mungu wake, ayashike maneno yote ya torati hii na amri hizi, kwa kuyafanya;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nakala hiyo atakuwa nayo daima na kuisoma maisha yake yote, ili apate kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akishika na kutimiza maneno yote ya sheria hii na masharti haya,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakuwa na nakala hiyo, naye ataisoma siku zote za maisha yake ili kwamba ajifunze kumheshimu BWANA Mungu wake na kufuata kwa uangalifu maneno yote ya sheria hii na amri hizi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakuwa na nakala hiyo, naye ataisoma siku zote za maisha yake ili kwamba ajifunze kumheshimu bwana Mwenyezi Mungu wake na kufuata kwa uangalifu maneno yote ya sheria hii na amri hizi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na awe nayo, asome humo siku zote atakazoishi; ili apate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wake, ayashike maneno yote ya torati hii na amri hizi, kwa kuyafanya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nakala hiyo atakuwa nayo daima na kuisoma maisha yake yote, ili apate kujifunza kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akishika na kutimiza maneno yote ya sheria hii na masharti haya,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hicho kitabu sharti awe nacho, akisome siku zote za maisha yake, kusudi ajifundishe kumcha Bwana Mungu wake na kuyaangalia maneno yote ya haya Maonyo nayo ya haya maongozi, ayafanye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na awe nayo, asome humo siku zote atakazoishi; ili apate kujifunza kumcha BWANA, Mungu wake, ayashike maneno yote ya torati hii na amri hizi, kwa kuyafanya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufano huo atakuwa nao siku zote na kuusoma maisha yake yote, kusudi apate kujifunza kumwogopa Yawe, Mungu wake, akishika na kutimiza maneno yote ya sheria hii na masharti haya,