Deuteronomy 17:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kama mkisikia kwamba katika mmoja wa miji yenu kuna mwanamume au mwanamke atendaye maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuvunja agano lake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa mwanaume au mwanamke anayeishi kati ya mojawapo ya miji anayokupa Mwenyezi Mungu, anakutwa anafanya uovu mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kwa kuvunja agano lake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa ameonekana katikati yako, ndani ya malango yako mojawapo, upewayo na Bwana, Mungu wako, mtu mume au mke afanyaye yaliyo maovu machoni pa Bwana, Mungu wako, kwa kuvunja maagano yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kama mkisikia kwamba katika mmoja wa miji yenu kuna mwanamume au mwanamke atendaye maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuvunja agano lake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa mwanaume au mwanamke anayeishi kati ya mojawapo ya miji akupayo BWANA, anakutwa anafanya uovu mbele za BWANA Mungu wenu, kwa kuvunja Agano lake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa mwanaume au mwanamke anayeishi kati ya mojawapo ya miji akupayo bwana, anakutwa anafanya uovu mbele za bwana Mwenyezi Mungu wenu, kwa kuvunja Agano lake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa ameonekana katikati yako, ndani ya malango yako mojawapo, upewayo na BWANA, Mungu wako, mtu mume au mke afanyaye yaliyo maovu machoni pa BWANA, Mungu wako, kwa kuvunja maagano yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kama mkisikia kwamba katika mmoja wa miji yenu kuna mwanamume au mwanamke atendaye maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kuvunja agano lake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, malangoni mwako miongoni mwa miji, Bwana Mungu wako atakayokupa, aonekane mtu mume au mke anayefanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana Mungu wako kwa kupitana na Agano lake
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa ameonekana katikati yako, ndani ya malango yako mojawapo, upewayo na BWANA, Mungu wako, mtu mume au mke afanyaye yaliyo maovu machoni pa BWANA, Mungu wako, kwa kuvunja maagano yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kama mukisikia katika mumoja wa miji yenu kuna mwanaume au mwanamuke anayetenda maovu mbele ya Yawe, Mungu wenu, na kuvunja agano lake