Deuteronomy 17:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naye amekwenda na kuitumikia miungu mingine na kuiabudu, akaabudu hata jua, mwezi au vitu vingine vya mbinguni ambavyo sikuagiza viabudiwe,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye ameenda kinyume na agizo langu kuabudu miungu mingine na kuisujudia, kama vile jua, mwezi au nyota za angani,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye amekwenda kutumikia miungu mingine na kuiabudu, au jua, au mwezi, au vilivyo katika jeshi la mbinguni vyo vyote, nisivyoagiza mimi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naye amekwenda na kuitumikia miungu mingine na kuiabudu, akaabudu hata jua, mwezi au vitu vingine vya mbinguni ambavyo sikuagiza viabudiwe,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye amekwenda kinyume na agizo langu kuabudu miungu mingine na kuisujudia, kama vile jua, mwezi au nyota za angani,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye amekwenda kinyume na agizo langu kuabudu miungu mingine na kuisujudia, kama vile jua, mwezi au nyota za angani,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye amekwenda kutumikia miungu mingine na kuiabudu, au jua, au mwezi, au vilivyo katika jeshi la mbinguni vyovyote, nisivyoagiza mimi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naye amekwenda na kuitumikia miungu mingine na kuiabudu, akaabudu hata jua, mwezi au vitu vingine vya mbinguni ambavyo sikuagiza viabudiwe,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akienda kutumikia miungu mingine na kuitambikia, kama ni jua au mwezi au vikosi vyote vya mbinguni, nisivyokuagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye amekwenda kutumikia miungu mingine na kuiabudu, au jua, au mwezi, au vilivyo katika jeshi la mbinguni vyo vyote, nisivyoagiza mimi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
naye amekwenda na kutumikia miungu mingine na kuiabudu, akiabudu jua, mwezi au vitu vingine vya mbinguni nisivyoagiza,