Deuteronomy 17:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale mashahidi ndio watakaoanza kumpiga mawe kwanza, halafu wengine nao wampige mawe. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni lazima kwanza mikono ya mashahidi itangulie kumuua huyo mtu, kisha mikono ya watu wote. Ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikono ya wale mashahidi na iwe juu yake kwanza kwa kumwua, kisha mikono ya watu wote. Uondoe vivyo uovu katikati yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale mashahidi ndio watakaoanza kumpiga mawe kwanza, halafu wengine nao wampige mawe. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni lazima kwanza mikono ya mashahidi itangulie kumwua huyo mtu. Ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni lazima kwanza mikono ya mashahidi itangulie kumuua huyo mtu, kisha mikono ya watu wote. Ni lazima mwondoe uovu miongoni mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mikono ya wale mashahidi na iwe juu yake kwanza kwa kumwua, kisha mikono ya watu wote. Uondoe vivyo hivyo uovu katikati yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale mashahidi ndio watakaoanza kumpiga mawe kwanza, halafu wengine nao wampige mawe. Ndivyo mtakavyokomesha uovu miongoni mwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikono yao mashahidi sharti iwe ya kwanza ya kumwua, kisha mikono yao watu wote na ifuate; hivyo ndivyo, utakavyouondoa ubaya huo katikati yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikono ya wale mashahidi na iwe juu yake kwanza kwa kumwua, kisha mikono ya watu wote. Uondoe vivyo uovu katikati yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale washuhuda ndio watakaoanza kumupiga mawe kwanza, halafu wengine wamupige mawe. Ndivyo mutakavyokomesha uovu kati yenu.