Deuteronomy 18:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Makuhani Walawi, yaani kabila lote la Lawi wasiwe na sehemu wala urithi katika Israeli. Wao watakula sehemu ya sadaka za Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani ambao ni Walawi, yaani kabila lote la Lawi, hawatakuwa na mgawo wala urithi pamoja na Israeli. Wataishi kwa sadaka zitolewazo kwa ajili ya Mwenyezi Mungu za kuteketezwa kwa moto, kwa maana huo ndio urithi wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makuhani Walawi, kabila yote ya Lawi, wasiwe na fungu wala urithi pamoja na Israeli; watakula sadaka za Bwana zifanywazo kwa moto, na urithi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Makuhani Walawi, yaani kabila lote la Lawi wasiwe na sehemu wala urithi katika Israeli. Wao watakula sehemu ya sadaka za Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makuhani ambao ni Walawi, yaani kabila lote la Lawi, hawatakuwa na mgawo wala urithi pamoja na Israeli. Wataishi kwa sadaka zitolewazo kwa ajili ya BWANA za kuteketezwa kwa moto, kwa maana huo ndio urithi wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makuhani ambao ni Walawi, yaani kabila lote la Lawi, hawatakuwa na mgawo wala urithi pamoja na Israeli. Wataishi kwa sadaka zitolewazo kwa ajili ya bwana za kuteketezwa kwa moto, kwa maana huo ndio urithi wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makuhani Walawi, kabila yote ya Lawi, wasiwe na fungu wala urithi pamoja na Israeli; watakula sadaka za BWANA zifanywazo kwa moto, na urithi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Makuhani Walawi, yaani kabila lote la Lawi wasiwe na sehemu wala urithi katika Israeli. Wao watakula sehemu ya sadaka za Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambikaji Walawi, ndio shina lote la Lawi, wasipate fungu la nchi kuwa lao wenyewe kwao Waisiraeli. Ng'ombe za tambiko za Bwana za kuteketezwa nayo yampasayo Bwana kupewa yawe yao; ndiyo, watakayokula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makuhani Walawi, kabila yote ya Lawi, wasiwe na fungu wala urithi pamoja na Israeli; watakula sadaka za BWANA zifanywazo kwa moto, na urithi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Makuhani Walawi, ni kusema kabila lote la Lawi, wasikuwe na sehemu wala urizi katika Israeli. Wao watakula sehemu ya sadaka za Yawe.