Deuteronomy 18:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wala mchawi, wala mlozi, wala mwenye kutaka kauli kwa mizimu na pepo au kutoka kwa wafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wala arogaye kwa kupiga mafundo, wala mwaguzi au anayeabudu mizimu, wala awaombaye wafu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wala mchawi, wala mlozi, wala mwenye kutaka kauli kwa mizimu na pepo au kutoka kwa wafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wala alogaye kwa kupiga mafundo, wala apandishaye pepo, anayeabudu mizimu, wala awaombaye wafu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wala arogaye kwa kupiga mafundo, wala mwaguzi au anayeabudu mizimu, wala awaombaye wafu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wala mchawi, wala mlozi, wala mwenye kutaka kauli kwa mizimu na pepo au kutoka kwa wafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala mfinga nyoka kwa uganga, wala mwenye kuuliza mizimu, wala mwenye kujua uchawi wote, wala mfanya mashauri na wafu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wala muchawi, wala mulozi, wala mwenye kutaka shauri kwa mizimu na pepo au kutoka kwa wafu.