Deuteronomy 18:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Wamesema ukweli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akaniambia: “Wanachosema ni vyema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaniambia, Wametenda vema kusema walivyosema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Wamesema ukweli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akaniambia: “Wanachosema ni vyema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akaniambia: “Wanachosema ni vyema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaniambia, Wametenda vema kusema walivyosema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Mwenyezi-Mungu akaniambia, ‘Wamesema ukweli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Bwana aliponiambia: Wamefanya vema waliposema hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaniambia, Wametenda vema kusema walivyosema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yawe akaniambia: ‘Wamesema ukweli.