Deuteronomy 18:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeyote ambaye hatasikia maneno atakayosema nabii huyo kwa jina langu, mimi mwenyewe nitamwadhibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mtu yeyote hatasikiliza maneno yangu ambayo huyo nabii atayasema kwa Jina langu, mimi mwenyewe nitamwajibisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata itakuwa, mtu asiyesikiliza maneno yangu atakayosema yule kwa jina langu, nitalitaka kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeyote ambaye hatasikia maneno atakayosema nabii huyo kwa jina langu, mimi mwenyewe nitamwadhibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu ye yote hakusikiliza maneno yangu ambayo nabii atayasema kwa Jina langu, mimi mwenyewe nitamwajibisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu yeyote hatasikiliza maneno yangu ambayo huyo nabii atayasema kwa Jina langu, mimi mwenyewe nitamwajibisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata itakuwa, mtu asiyesikiliza maneno yangu atakayosema yule kwa jina langu, nitalitaka kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeyote ambaye hatasikia maneno atakayosema nabii huyo kwa jina langu, mimi mwenyewe nitamwadhibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, mtu akikataa kuyasikia maneno yangu, atakayoyasema katika Jina langu, mimi nitamlipisha.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata itakuwa, mtu asiyesikiliza maneno yangu atakayosema yule kwa jina langu, nitalitaka kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeyote ambaye hatasikia maneno nabii huyo atakayosema kwa jina langu, mimi mwenyewe nitamwazibu.