Deuteronomy 18:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala wasiwe na urithi kati ya ndugu zao; Mwenyezi-Mungu ndiye urithi wao kama alivyoahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawatakuwa na urithi miongoni mwa ndugu zao; Mwenyezi Mungu ndiye urithi wao, kama alivyowaahidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala wasiwe na urithi kati ya ndugu zao; Bwana ndiye urithi wao, kama alivyowaambia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala wasiwe na urithi kati ya ndugu zao; Mwenyezi-Mungu ndiye urithi wao kama alivyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawatakuwa na urithi miongoni mwa ndugu zao; BWANA ndiye urithi wao, kama alivyowaahidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawatakuwa na urithi miongoni mwa ndugu zao; bwana ndiye urithi wao, kama alivyowaahidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala wasiwe na urithi kati ya ndugu zao; BWANA ndiye urithi wao, kama alivyowaambia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala wasiwe na urithi kati ya ndugu zao; Mwenyezi-Mungu ndiye urithi wao kama alivyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli wasiwe na fungu lililo lao kwao ndugu zao, ila Bwana mwenyewe atakuwa fungu lao, kama alivyowaambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala wasiwe na urithi kati ya ndugu zao; BWANA ndiye urithi wao, kama alivyowaambia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wala wasikuwe na urizi kati ya wandugu zao; Yawe ndiye urizi wao kama vile alivyoahidi.