Deuteronomy 18:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini nyinyi mwaweza kusema, ‘Tutawezaje kutambua neno ambalo Mwenyezi-Mungu hakulisema?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mnaweza kuulizana wenyewe, “Tutawezaje kujua wakati ujumbe haukusemwa na Mwenyezi Mungu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena Bwana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini nyinyi mwaweza kusema, ‘Tutawezaje kutambua neno ambalo Mwenyezi-Mungu hakulisema?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mnaweza kuulizana wenyewe, “Tutawezaje kujua wakati ujumbe haukusemwa na BWANA?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mnaweza kuulizana wenyewe, “Tutawezaje kujua wakati ujumbe haukusemwa na bwana?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena BWANA?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini nyinyi mwaweza kusema, ‘Tutawezaje kutambua neno ambalo Mwenyezi-Mungu hakulisema?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe ukiuliza moyoni mwako: Tutajuaje neno kuwa neno, Bwana asilolisema?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena BWANA?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini ninyi munaweza kusema: ‘Tutaweza namna gani kutambua neno ambalo Yawe hakulisema?’