Deuteronomy 18:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Na hii itakuwa haki ya makuhani kutoka kwa watu wanaotoa sadaka iwe ni ng'ombe au kondoo: Watampa kuhani mguu wa mbele, mashavu na matumbo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo fungu la makuhani kutoka kwa watu watakaotoa dhabihu ya fahali au kondoo: mguu wa mbele, mataya na matumbo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hii itakuwa haki ya makuhani kwa watu hao wasongezao sadaka, ikiwa ni ng'ombe au kondoo wampe kuhani mkono, na mashavu mawili, na tumbo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Na hii itakuwa haki ya makuhani kutoka kwa watu wanaotoa sadaka iwe ni ng'ombe au kondoo: watampa kuhani mguu wa mbele, mashavu na matumbo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ndilo fungu la makuhani kutoka kwa watu watakaotoa dhabihu ya fahali au kondoo: mguu wa mbele, mataya na matumbo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo fungu la makuhani kutoka kwa watu watakaotoa dhabihu ya fahali au kondoo: mguu wa mbele, mataya na matumbo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hii itakuwa haki ya makuhani kwa watu hao wasongezao sadaka, ikiwa ni ng'ombe au kondoo wampe kuhani mkono, na mashavu mawili, na tumbo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Na hii itakuwa haki ya makuhani kutoka kwa watu wanaotoa sadaka iwe ni ng'ombe au kondoo: Watampa kuhani mguu wa mbele, mashavu na matumbo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hii itakuwa haki yao watambikaji kwao watu watakaochinja ng'ombe ya tambiko, kama ni ng'ombe, au kama ni kondoo: sharti wampe mtambikaji mkono na mashavu mawili na matumbo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hii itakuwa haki ya makuhani kwa watu hao wasongezao sadaka, ikiwa ni ng’ombe au kondoo wampe kuhani mkono, na mashavu mawili, na tumbo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Na hii itakuwa haki ya makuhani kutoka kwa watu wanaotolea sadaka ikuwe ni ngombe au kondoo: watamupa kuhani muguu wa mbele, mashavu na matumbotumbo.