Deuteronomy 18:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtawapa sehemu ya kwanza ya mazao yenu ya nafaka, divai, mafuta yenu na sufu ya kwanza ya kondoo wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtawapa malimbuko ya nafaka zenu, divai mpya, mafuta na sufu ya kwanza kutoka manyoya ya kondoo wenu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malimbuko ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na manyoya ya kwanza ya kondoo zako, umpe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtawapa sehemu ya kwanza ya mazao yenu ya nafaka, divai, mafuta yenu na sufu ya kwanza ya kondoo wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtawapa malimbuko ya nafaka zenu, divai mpya, mafuta na sufu ya kwanza kutoka manyoya ya kondoo zenu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtawapa malimbuko ya nafaka zenu, divai mpya, mafuta na sufu ya kwanza kutoka manyoya ya kondoo zenu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malimbuko ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na manyoya ya kwanza ya kondoo wako, umpe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtawapa sehemu ya kwanza ya mazao yenu ya nafaka, divai, mafuta yenu na sufu ya kwanza ya kondoo wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena malimbuko ya ngano zako nayo ya mvinyo mbichi nayo ya mafuta, nayo malimbuko ya nywele za kondoo, mkiwanyoa, na mmpe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malimbuko ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na manyoya ya kwanza ya kondoo zako, umpe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutawapa sehemu ya kwanza ya mazao yenu ya ngano, divai, mafuta yenu na sufu ya kwanza ya kondoo wenu.