Deuteronomy 18:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika makabila yenu yote, Mwenyezi-Mungu amechagua kabila la Walawi limtumikie kama makuhani milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, amewachagua pamoja na wazao wao kutoka makabila yenu kusimama na kuhudumu katika jina la Mwenyezi Mungu siku zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani Bwana, Mungu wako, amemchagua katika kabila zako zote, asimame atumike kwa jina la Bwana, yeye na wanawe milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika makabila yenu yote, Mwenyezi-Mungu amechagua kabila la Walawi limtumikie kama makuhani milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa BWANA Mungu wenu amewachagua pamoja na wazao wao kutoka makabila yenu kusimama na kuhudumu katika jina la BWANA siku zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa bwana Mwenyezi Mungu wenu amewachagua pamoja na wazao wao kutoka makabila yenu kusimama na kuhudumu katika jina la bwana siku zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani BWANA, Mungu wako, amemchagua katika kabila zako zote, asimame atumike kwa jina la BWANA, yeye na wanawe milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika makabila yenu yote, Mwenyezi-Mungu amechagua kabila la Walawi limtumikie kama makuhani milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana Mungu wako amemchagua katika mashina yako yote, asimame na kutumikia katika Jina lake Bwana, yeye na wanawe siku zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani BWANA, Mungu wako, amemchagua katika kabila zako zote, asimame atumike kwa jina la BWANA, yeye na wanawe milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika makabila yenu yote, Yawe amechagua kabila la Walawi limutumikie kama vile makuhani milele.