Deuteronomy 18:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ikiwa Mlawi yeyote atapenda mwenyewe anaweza kutoka mji wowote ule wa Israeli kwenda pale mahali Mwenyezi-Mungu alipochagua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikiwa Mlawi atahama kutoka mojawapo ya miji yenu popote katika Israeli ambapo anaishi, akaja kwa moyo wote mahali Mwenyezi Mungu atakapopachagua,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na akija Mlawi atokaye katika malango yako mojawapo, katika Israeli yote alipokuwa akikaa, akaja kwa mapenzi yote ya nafsi yake mahali atakapochagua Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ikiwa Mlawi yeyote atapenda mwenyewe anaweza kutoka mji wowote ule wa Israeli kwenda pale mahali Mwenyezi-Mungu alipochagua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikiwa Mlawi atahama kutoka mmojawapo ya miji yenu popote katika Israeli ambapo anaishi, akaja kwa moyo wote mahali ambapo BWANA atapachagua,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikiwa Mlawi atahama kutoka mmojawapo ya miji yenu popote katika Israeli ambapo anaishi, akaja kwa moyo wote mahali ambapo bwana atapachagua,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na akija Mlawi atokaye katika malango yako mojawapo, katika Israeli yote alipokuwa akikaa, akaja kwa mapenzi yote ya nafsi yake mahali atakapochagua BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ikiwa Mlawi yeyote atapenda mwenyewe anaweza kutoka mji wowote ule wa Israeli kwenda pale mahali Mwenyezi-Mungu alipochagua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakapokuwa, Mlawi atoke malangoni pako pawapo pote kwao Waisiraeli, anapokaa ugenini, aende kwa tunu yote ya roho yake mahali pale, Bwana atakapopachagua,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na akija Mlawi atokaye katika malango yako mojawapo, katika Israeli yote alipokuwa akikaa, akaja kwa mapenzi yote ya nafsi yake mahali atakapochagua BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ikiwa Mulawi yeyote atapenda mwenyewe anaweza kutoka katika muji wowote wa Israeli kwenda pale pahali Yawe alipochagua,