Deuteronomy 18:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na hapo anaweza kuhudumu kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama wale Walawi wengine wanaohudumu mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
anaweza akahudumu katika jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wake, kama Walawi wenzake wote wanaohudumu hapo mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na atumike kwa jina la Bwana, Mungu wake, kama wafanyavyo ndugu zake wote, Walawi wasimamao huko mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na hapo anaweza kuhudumu kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama wale Walawi wengine wanaohudumu mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
anaweza akahudumu katika jina la BWANA Mungu wake kama Walawi wenzake wote wanaohudumu hapo mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
anaweza akahudumu katika jina la bwana Mwenyezi Mungu wake kama Walawi wenzake wote wanaohudumu hapo mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na atumike kwa jina la BWANA, Mungu wake, kama wafanyavyo ndugu zake wote, Walawi wasimamao huko mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na hapo anaweza kuhudumu kwa jina la Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama wale Walawi wengine wanaohudumu mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, na atumikie katika Jina la Bwana Mungu wake, kama ndugu zake Walawi wote wanaosimama hapo mbele ya Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na atumike kwa jina la BWANA, Mungu wake, kama wafanyavyo ndugu zake wote, Walawi wasimamao huko mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na hapo anaweza kutumika kwa jina la Yawe, Mungu wake, kama wale Walawi wengine wanaotumika mbele ya Yawe.