Deuteronomy 18:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtakapofika katika ile nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawapa, msifuate desturi za kuchukiza za mataifa hayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtakapoingia katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa, msijifunze kuiga njia za machukizo za mataifa ya huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtakapofika katika ile nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawapa, msifuate desturi za kuchukiza za mataifa hayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mtakapoingia katika nchi ambayo BWANA Mungu wenu anawapa, msijifunze kuiga njia za machukizo za mataifa ya huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mtakapoingia katika nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa, msijifunze kuiga njia za machukizo za mataifa ya huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtakapofika katika ile nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu atawapa, msifuate desturi za kuchukiza za mataifa hayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapoingia katika hiyo nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, usijifundishe kuyafanya matapisho ya hao wamizimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mutakapofika katika ile inchi Yawe, Mungu wenu, anayowapa, musifuate zile tabia za kuchukiza za mataifa ya huko.