Deuteronomy 19:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili mtu asiye na hatia asije akauawa katika nchi yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia kuwa yenu, na hivyo kuwasababisha kuwa na hatia ya mauaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fanyeni hivi ili damu isiyo na hatia isimwagwe katika nchi yenu, ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa kama urithi wenu, ili msije mkawa na hatia ya kumwaga damu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
isije ikamwagika damu ya asiye makosa kati ya nchi yako akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi, ikawa na damu juu yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili mtu asiye na hatia asije akauawa katika nchi yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia kuwa yenu, na hivyo kuwasababisha kuwa na hatia ya mauaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fanyeni hivi ili damu isiyo na hatia isimwagwe katika nchi yenu, ambayo BWANA Mungu wenu anawapa kama urithi wenu, ili kwamba msije mkawa na hatia ya kumwaga damu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fanyeni hivi ili damu isiyo na hatia isimwagwe katika nchi yenu, ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kama urithi wenu, ili kwamba msije mkawa na hatia ya kumwaga damu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
isije ikamwagika damu ya asiye makosa kati ya nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi, ikawa na damu juu yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili mtu asiye na hatia asije akauawa katika nchi yenu ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia kuwa yenu, na hivyo kuwasababisha kuwa na hatia ya mauaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ni kwamba: katikati ya hiyo nchi yako, Bwana Mungu wako atakayokupa, iwe fungu lako, isimwagwe damu ya mtu asiyekora manza za kufa, hiyo damu ikakukalia wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
isije ikamwagika damu ya asiye makosa kati ya nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi, ikawa na damu juu yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kusudi mutu asiyekuwa na kosa asiuawe katika inchi yenu ambayo Yawe, Mungu wenu, atawapatia kuwa yenu, na hivyo kuwasababisha kuwa na kosa la mauaji.