Deuteronomy 19:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini mtu akiwa adui wa mwenzake, akamvizia akamshambulia na kumuua, kisha akakimbilia kwenye mji mmojawapo wa miji hiyo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kama mtu anamchukia ndugu yake, akamvizia, akamshambulia na kumuua, kisha akakimbilia katika mojawapo ya miji hii,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mtu awaye yote akimchukia mwenziwe na kumwotea na kumwinukia, akampiga hata akafa; naye akakimbilia miji hii mmojawapo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini mtu akiwa adui wa mwenzake, akamvizia akamshambulia na kumuua, kisha akakimbilia kwenye mji mmojawapo wa miji hiyo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kama mtu anamchukia ndugu yake, akamvizia, akamshambulia na kumwua, kisha akakimbilia katika mmojawapo ya miji hii,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kama mtu anamchukia ndugu yake, akamvizia, akamshambulia na kumuua, kisha akakimbilia katika mmojawapo ya miji hii,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mtu awaye yote akimchukia mwenziwe na kumwotea na kumwinukia, akampiga hata akafa; naye akakimbilia miji hii mmojawapo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini mtu akiwa adui wa mwenzake, akamvizia akamshambulia na kumuua, kisha akakimbilia kwenye mji mmojawapo wa miji hiyo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtu akiwa mchukivu wa mwenzake, akamvizia na kumnyatianyatia, mwisho akampata, ampige na kuizimiza roho yake, afe kabisa; napo, atakapokimbilia miji hiyo mmojawapo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mtu awaye yote akimchukia mwenziwe na kumwotea na kumwinukia, akampiga hata akafa; naye akakimbilia miji hii mmojawapo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini mutu akiwa adui wa mwenzake, akivizia, akimushambulia na kumwua, kisha anakimbilia kwenye muji mumoja wa miji hiyo,