Deuteronomy 19:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hapo wazee wa mji huo watatuma watu wamtoe huko na kumkabidhi kwa mwenye kulipiza kisasi cha umwagaji damu, auawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wazee wa mji wake watatuma ujumbe kwake, kumleta kutoka mji ule na kumkabidhi mlipiza kisasi cha damu kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo wazee wa mji wake wapeleke ujumbe kumtwaa huko, na kumuua katika mkono wa mwenye kulipiza kisasi cha damu, apate kufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hapo wazee wa mji huo watatuma watu wamtoe huko na kumkabidhi kwa mwenye kulipiza kisasi cha umwagaji damu, auawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wazee wa mji wake watatuma ujumbe kwake, kumleta kutoka mji ule na kumkabidhi mlipiza kisasi cha damu kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wazee wa mji wake watatuma ujumbe kwake, kumleta kutoka mji ule na kumkabidhi mlipiza kisasi cha damu kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo wazee wa mji wake wapeleke ujumbe kumtwaa huko, na kumwua katika mkono wa mwenye kulipiza kisasi cha damu, apate kufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hapo wazee wa mji huo watatuma watu wamtoe huko na kumkabidhi kwa mwenye kulipiza kisasi cha umwagaji damu, auawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wazee wa mji wake na watume watu, wamchukue kule na kumtia mikononi mwake mlipiza hiyo damu, afe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo wazee wa mji wake wapeleke ujumbe kumtwaa huko, na kumuua katika mkono wa mwenye kulipiza kisasi cha damu, apate kufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
hapo wazee wa muji huo watatuma watu wamutoshe kule na kumutoa kwa mwenye kulipiza kisasi cha umwangaji wa damu, auawe.