Deuteronomy 19:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msiondoe alama ya mipaka ya jirani zenu, ambayo iliwekwa hapo zamani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu wenu anawapatieni mwimiliki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, anayowapa kuimiliki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiiondoe alama ya mpaka wa jirani yako, waliouweka watu wa kale katika urithi wako, utakaorithi ndani ya nchi akupayo Bwana, Mungu wako, uimiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msiondoe alama ya mipaka ya jirani zenu, ambayo iliwekwa hapo zamani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu wenu anawapatieni mwimiliki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi BWANA Mungu wako anayowapa kuimiliki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi bwana Mwenyezi Mungu wako anayowapa kuimiliki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiiondoe alama ya mpaka wa jirani yako, waliouweka watu wa kale katika urithi wako, utakaorithi ndani ya nchi akupayo BWANA, Mungu wako, uimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msiondoe alama ya mipaka ya jirani zenu, ambayo iliwekwa hapo zamani katika nchi ambayo Mwenyezi-Mungu wenu anawapatieni mwimiliki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usimsogezee mwenzako mipaka, wakale waliyoikata penye fungu lako, utakalolichukua, liwe lako katika hiyo nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, uichukue, iwe yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiiondoe alama ya mpaka wa jirani yako, waliouweka watu wa kale katika urithi wako, utakaorithi ndani ya nchi akupayo BWANA, Mungu wako, uimiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musiondoe kitambulisho cha mipaka ya wajirani zenu, ambayo iliwekwa hapo zamani katika inchi ambayo Yawe wenu anawapatia muirizi.