Deuteronomy 19:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa shahidi mdhalimu atatokea kumshtaki mtu yeyote juu ya kosa fulani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama shahidi mwenye nia ya kumdhuru mwingine akisimama kumshtaki mtu kwa uhalifu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shahidi mdhalimu akimwinukia mtu ye yote na kushuhudia juu yake ya upotoe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa shahidi mdhalimu atatokea kumshtaki mtu yeyote juu ya kosa fulani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama shahidi mwenye nia ya kumdhuru mwingine akisimama kumshtaki mtu kwa uhalifu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama shahidi mwenye nia ya kumdhuru mwingine akisimama kumshtaki mtu kwa uhalifu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shahidi mdhalimu akimwinukia mtu yeyote na kushuhudia juu yake ya upotovu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa shahidi mdhalimu atatokea kumshtaki mtu yeyote juu ya kosa fulani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Shahidi mkorofi atakapomwinukia mwenzake kumsingizia upotovu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shahidi mdhalimu akimwinukia mtu ye yote na kushuhudia juu yake ya upotoe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa mushuhuda wa uongo atatokea kwa kumushitaki mutu yeyote juu ya kosa fulani,