Deuteronomy 19:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi yeye na mshtakiwa kuhusu mzozo huo watakwenda mbele ya Mwenyezi-Mungu, mbele ya makuhani na waamuzi ambao wako katika ofisi wakati huo;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watu wawili wanaohusika katika mabishano lazima wasimame mbele za Mwenyezi Mungu na mbele ya makuhani na waamuzi ambao wako kazini wakati huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ndipo wale watu washindanao kwa mambo yale na wasimame wote wawili mbele za Bwana, mbele ya makuhani na waamuzi watakaokuwapo siku hizo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi yeye na mshtakiwa kuhusu mzozo huo watakwenda mbele ya Mwenyezi-Mungu, mbele ya makuhani na waamuzi ambao wako katika ofisi wakati huo;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
watu wawili wanaohusika katika mabishano lazima wasimame mbele za BWANA na mbele ya makuhani na waamuzi ambao wako kazini wakati huo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watu wawili wanaohusika katika mabishano lazima wasimame mbele za bwana na mbele ya makuhani na waamuzi ambao wako kazini wakati huo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo wale watu washindanao kwa mambo yale na wasimame wote wawili mbele za BWANA, mbele ya makuhani na waamuzi watakaokuwapo siku hizo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi yeye na mshtakiwa kuhusu mzozo huo watakwenda mbele ya Mwenyezi-Mungu, mbele ya makuhani na waamuzi ambao wako katika ofisi wakati huo;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wawili wanaobishana na waende kusimama mbele ya Bwana na mbele ya watambikaji na mbele ya waamuzi watakaokuwapo siku hizo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ndipo wale watu washindanao kwa mambo yale na wasimame wote wawili mbele za BWANA, mbele ya makuhani na waamuzi watakaokuwapo siku hizo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
basi hao wote wawili wanaobishana watakwenda mbele ya Yawe, mbele ya makuhani na waamuzi ambao wako katika kazi wakati huo.