Deuteronomy 19:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mtatenga miji mitatu katika nchi atakayowapatia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muimiliki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ndipo mtenge miji mitatu iliyopo katikati ya nchi kwa ajili yenu, katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa kuimiliki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
itenge miji mitatu iwe kwako katikati ya nchi yako, akupayo Bwana, Mungu wako, kuimiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mtatenga miji mitatu katika nchi atakayowapatia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muimiliki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ndipo mtenge miji mitatu iliyopo katikati ya nchi kwa ajili yenu, katika nchi ambayo BWANA Mungu wenu anawapa kuimiliki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ndipo mtenge miji mitatu iliyopo katikati ya nchi kwa ajili yenu, katika nchi ambayo bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kuimiliki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
itenge miji mitatu iwe kwako katikati ya nchi yako, akupayo BWANA, Mungu wako, kuimiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mtatenga miji mitatu katika nchi atakayowapatia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, muimiliki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo ujitengee miji mitatu katikati ya hiyo nchi yako, Bwana Mungu wako atakayokupa, uichukue, iwe yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
itenge miji mitatu iwe kwako katikati ya nchi yako, akupayo BWANA, Mungu wako, kuimiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mutatenga miji mitatu katika inchi Yawe, Mungu wenu atakayowapatia muirizi.