Deuteronomy 19:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao watu wengineo watasikia na kuogopa, na uovu kama huo hautafanyika tena kati yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu watakaosalia watasikia hili na kuogopa, uovu kama huo kamwe hautatendeka tena miongoni mwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao watu wengineo watasikia na kuogopa, na uovu kama huo hautafanyika tena kati yenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu watakaosalia watasikia hili na kuogopa, uovu kama huo kamwe hautatendeka tena miongoni mwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu watakaosalia watasikia hili na kuogopa, uovu kama huo kamwe hautatendeka tena miongoni mwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao watu wengineo watasikia na kuogopa, na uovu kama huo hautafanyika tena kati yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wengine wasiokuwapo watakapovisikia wataogopa, wasiendelee kufanya mambo mabaya kama hayo katikati yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watu wengine watasikia na kuogopa, na uovu kama huo hautafanyika tena kati yenu.