Deuteronomy 19:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtatengeneza barabara na kugawa katika sehemu tatu nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia muimiliki ili kila anayemuua mtu bila kukusudia apate kukimbilia huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jengeni barabara katika miji hiyo na kuigawa mara tatu, nchi anayowapa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kama urithi, ili yeyote amuuaye mtu aweze kukimbilia humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itengeze njia, igawanye na mipaka ya nchi yako, akurithishayo Bwana, Mungu wako, iwe mafungu matatu, ili kwamba kila mwenye kuua mtu apate kukimbilia huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtatengeneza barabara na kugawa katika sehemu tatu nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia muimiliki ili kila anayemuua mtu bila kukusudia apate kukimbilia huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jengeni barabara katika miji hiyo na kuigawa mara tatu, nchi anayowapa BWANA Mungu wenu kama urithi, ili kwamba ye yote amuuaye mtu aweze kukimbilia humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jengeni barabara katika miji hiyo na kuigawa mara tatu, nchi anayowapa bwana Mwenyezi Mungu wenu kama urithi, ili kwamba yeyote amuuaye mtu aweze kukimbilia humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Itengeneze njia, igawanye na mipaka ya nchi yako, akurithishayo BWANA, Mungu wako, iwe mafungu matatu, ili kwamba kila mwenye kuua mtu apate kukimbilia huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtatengeneza barabara na kugawa katika sehemu tatu nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapatia muimiliki ili kila anayemuua mtu bila kukusudia apate kukimbilia huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapojitengenezea njia za kwenda huko uanze kuigawanya mipaka ya hiyo nchi yako, Bwana Mungu wako atakayokupa, iwe yako mwenyewe, uitoe mafungu matatu, mwuaji apate pa kukimbilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itengeze njia, igawanye na mipaka ya nchi yako, akurithishayo BWANA, Mungu wako, iwe mafungu matatu, ili kwamba kila mwenye kuua mtu apate kukimbilia huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutatengeneza barabara na kugawanya katika sehemu tatu inchi ambayo Yawe, Mungu wenu, atawapatia muirizi kusudi yeyote anayemwua mutu bila kukusudia apate kukimbilia huko.