Deuteronomy 19:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtu akimuua mwenzake bila kukusudia, naye hakuwa adui yake, anaweza kukimbilia mmojawapo wa miji hii, akayaokoa maisha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo kanuni kuhusu mtu amuuaye mwingine na kukimbilia humo kuokoa maisha yake, yaani yeye amuuaye jirani yake bila kukusudia, wala hakumchukia kabla ya hapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hii ndiyo hukumu ya mwenye kuua mtu, atakayekimbilia huko awe hai; atakayemwua mwenziwe pasipo kukusudia, wala hakumchukia tangu hapo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtu akimuua mwenzake bila kukusudia, naye hakuwa adui yake, anaweza kukimbilia mmojawapo wa miji hii, akayaokoa maisha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo kanuni kuhusu mtu amuuaye mwingine na kukimbilia humo kuokoa maisha yake, yaani, yeye amuuaye jirani yake bila kukusudia, wala hakumchukia kabla ya hapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo kanuni kuhusu mtu amuuaye mwingine na kukimbilia humo kuokoa maisha yake, yaani, yeye amuuaye jirani yake bila kukusudia, wala hakumchukia kabla ya hapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hii ndiyo hukumu ya mwenye kuua mtu, atakayekimbilia huko awe hai; atakayemwua mwenziwe pasipo kukusudia, wala hakumchukia tangu hapo mwanzo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtu akimuua mwenzake bila kukusudia, naye hakuwa adui yake, anaweza kukimbilia mmojawapo wa miji hii, akayaokoa maisha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo shauri lake mwuaji atakayekimbilia kwako, apate kupona, liwe hivyo: Itakuwa, mtu ampige mwenzake pasipo kuvijua, pasipo kuwa mchukivu wake tangu zamani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hii ndiyo hukumu ya mwenye kuua mtu, atakayekimbilia huko awe hai; atakayemwua mwenziwe pasipo kukusudia, wala hakumchukia tangu hapo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mutu kwa bahati mbaya akimwua mwenzake bila kukusudia ambaye kwanza hakuwa adui yake,