Deuteronomy 19:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mfano, mtu aendaye na mwenzake msituni kukata kuni naye wakati anakata mti, shoka likachomoka kutoka kwenye mpini wake, likamuua yule mwingine, mtu huyo anaweza kukimbilia kwenye mji mmojawapo, akayaokoa maisha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mfano, mtu aweza kwenda msituni na jirani yake kukata miti, naye anapozungusha shoka kuangusha mti, shoka linaweza kuchomoka kutoka mpini na kumpiga jirani yake na kumuua. Yule mtu anaweza kukimbilia katika mojawapo ya miji hii na kuokoa maisha yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kama aingiapo mtu na mwenziwe mwituni kwenda kukata kuni, akapeleka mkono wake na shoka ili kukata mti, likatoka shoka katika mpini, likampiga yule mwenziwe hata akafa; basi na akimbilie katika miji hii mmojawapo awe hai;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mfano, mtu aendaye na mwenzake msituni kukata kuni naye wakati anakata mti, shoka likachomoka kutoka kwenye mpini wake, likamuua yule mwingine, mtu huyo anaweza kukimbilia kwenye mji mmojawapo, akayaokoa maisha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mfano, mtu aweza kwenda msituni na jirani yake kukata miti, naye anapozungusha shoka kuangusha mti, shoka linaweza kuchomoka kutoka kwenye mpini na kumpiga jirani yake na kumwua. Yule mtu anaweza kukimbilia katika mmojawapo ya miji hii na kuokoa maisha yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mfano, mtu aweza kwenda msituni na jirani yake kukata miti, naye anapozungusha shoka kuangusha mti, shoka linaweza kuchomoka kutoka kwenye mpini na kumpiga jirani yake na kumuua. Yule mtu anaweza kukimbilia katika mmojawapo ya miji hii na kuokoa maisha yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kama aingiapo mtu na mwenziwe mwituni kwenda kukata kuni, akapeleka mkono wake na shoka ili kukata mti, likatoka shoka katika mpini, likampiga yule mwenziwe hata akafa; basi na akimbilie katika miji hii mmojawapo awe hai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mfano, mtu aendaye na mwenzake msituni kukata kuni naye wakati anakata mti, shoka likachomoka kutoka kwenye mpini wake, likamuua yule mwingine, mtu huyo anaweza kukimbilia kwenye mji mmojawapo, akayaokoa maisha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, kama mtu akienda na mwenzake mwituni kukata kuni, napo hapo, mkono wake ulipolipandisha shoka kukata mti, chuma kikachomoka katika kipini, kikampata mwenzake, naye akafa, basi, hapo na akimbilie miji hiyo mmojawapo, apate kupona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kama aingiapo mtu na mwenziwe mwituni kwenda kukata kuni, akapeleka mkono wake na shoka ili kukata mti, likatoka shoka katika mpini, likampiga yule mwenziwe hata akafa; basi na akimbilie katika miji hii mmojawapo awe hai;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa mufano, mutu anayekwenda na mwenzake katika pori kukata kuni naye wakati anakata muti, shoka likachomoka kutoka kwenye mupini wake, na kumwua yule mwingine, mutu huyo anaweza kukimbilia kwenye muji mumoja, kwa kuokoa maisha yake.