Deuteronomy 19:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kama umbali wa mji huo ni mkubwa mno, huyo mwenye kulipiza kisasi, kwa hasira kali anaweza kumfuatia, akamkamata na kumuua huyo aliyesababisha kifo, ingawaje hakupewa hukumu ya kifo na hao wahusika wawili hawakuwa maadui hapo awali!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama sivyo, mlipiza kisasi cha damu anaweza kumfuatilia kwa hasira kali, naye akamkamata na kumuua kama umbali ni mrefu sana hata ingawa hastahili kifo, kwa sababu amemuua jirani yake bila kukusudia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
asije akaandamiwa mwuaji na mwenye kulipiza kisasi cha damu, moyo wake ukali na hasira, akampata kwa njia kuwa ndefu, akamwua; wala hana haki ya kuuawa, kwa kuwa hakumchukia tangu hapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kama umbali wa mji huo ni mkubwa mno, huyo mwenye kulipiza kisasi, kwa hasira kali anaweza kumfuatia, akamkamata na kumuua huyo aliyesababisha kifo, ingawaje hakupewa hukumu ya kifo na hao wahusika wawili hawakuwa maadui hapo awali!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama sivyo, mlipiza kisasi cha damu anaweza kumfuatilia kwa hasira kali, naye akamkamata na kumwua kama umbali ni mrefu sana hata ingawa hastahili kifo, kwa sababu amemwua jirani yake bila kukusudia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama sivyo, mlipiza kisasi cha damu anaweza kumfuatilia kwa hasira kali, naye akamkamata na kumuua kama umbali ni mrefu sana hata ingawa hastahili kifo, kwa sababu amemuua jirani yake bila kukusudia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
asije akaandamwa mwuaji na mwenye kulipiza kisasi cha damu, moyo wake ukali na hasira, akampata kwa njia kuwa ndefu, akamwua; wala hana haki ya kuuawa, kwa kuwa hakumchukia tangu hapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kama umbali wa mji huo ni mkubwa mno, huyo mwenye kulipiza kisasi, kwa hasira kali anaweza kumfuatia, akamkamata na kumuua huyo aliyesababisha kifo, ingawaje hakupewa hukumu ya kifo na hao wahusika wawili hawakuwa maadui hapo awali!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mwenye kuilipiza hiyo damu asimkimbize huyo mwuaji kwa ajili ya moto huo unaowaka moyoni mwake, amkamate, kwa kuwa njia ni ndefu, ampige, azimie roho, naye yule hakukora manza za kuuawa, kwani hakuwa mchukivu wake tangu zamani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
asije akaandamiwa mwuaji na mwenye kulipiza kisasi cha damu, moyo wake ukali na hasira, akampata kwa njia kuwa ndefu, akamwua; wala hana haki ya kuuawa, kwa kuwa hakumchukia tangu hapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kama umbali wa muji huo ni mukubwa sana, huyo mwenye kulipiza kisasi, kwa hasira kali anaweza kumufuatilia, akimukamata na kumwua huyo aliyesababisha kifo, ingawa hakupewa hukumu ya kifo na hao wawili hawakukuwa waadui mbele.