Deuteronomy 19:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Tena kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ataipanua mipaka ya nchi yenu, kama alivyowaapia babu zenu, naye akawapatia nchi yote ambayo aliahidi kuwapatia hao babu zenu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, akipanua nchi yenu, kama alivyoahidi kwa kiapo kwa baba zenu na kuwapa nchi yote aliyowaahidi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kama Bwana, Mungu wako, akiueneza mpaka wako kama alivyowaapia baba zako, akakupa na nchi yote aliyoahidi kwamba atawapa baba zako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Tena kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ataipanua mipaka ya nchi yenu, kama alivyowaapia babu zenu, naye akawapatia nchi yote ambayo aliahidi kuwapatia hao babu zenu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama BWANA Mungu wenu akipanua nchi yenu, kama alivyoahidi kwa kiapo kwa baba zenu na kuwapa nchi yote aliyowaahidi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama bwana Mwenyezi Mungu wenu akipanua nchi yenu, kama alivyoahidi kwa kiapo kwa baba zenu na kuwapa nchi yote aliyowaahidi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kama BWANA, Mungu wako, akiueneza mpaka wako kama alivyowaapia baba zako, akakupa na nchi yote aliyoahidi kwamba atawapa baba zako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Tena kama Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu ataipanua mipaka ya nchi yenu, kama alivyowaapia babu zenu, naye akawapatia nchi yote ambayo aliahidi kuwapatia hao babu zenu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena itakuwa, Bwana Mungu wako aipanue mipaka yako, kama alivyowaapia baba zako, ya kuwa atawapa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kama BWANA, Mungu wako, akiueneza mpaka wako kama alivyowaapia baba zako, akakupa na nchi yote aliyoahidi kwamba atawapa baba zako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Tena kama vile Yawe, Mungu wenu, akipanua mipaka ya inchi yenu, kama vile alivyowaapia babu zenu, naye akiwapatia inchi yote ambayo aliahidi kuwapatia hao babu zenu